Staa wa zamani wa vilabu vya FC Barcelona na ChelseaSamuel Eto’o leo June 14 2016 amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Georgette Tra Lou, Eto’oamefunga ndoa na kuhudhuriwa na staa mwenzake wa zamani wa FC BarcelonaCarlos Puyolna mkewe, Eto’ona mkewe wamefunga ndoa leo Stezzano Italia.
Post a Comment