WAATHIRIKA WA ZIKA SASA KUTUMIA KONDOMU
![]() |
| Mtoto aliye na virusi vya Zika |
Shirika la Afrika
Dunia (WHO) sasa linawahimiza watu wanaotoka katika sehemu
zilizoathirika na virusi vya Zika kuzingatia mbinu za kujikinga endapo
mtu anafanya mapenzi ama kujiepusha na ngono kwa muda wa wiki nane.
WHO
pia imeongeza kwamba wanawake waepukane na kupata mimba kwa miezi sita
iwapo mwenzake wa ndoa amekuwa na dalili za virusi vya ugonjwa huoWiki iliyopita shirika hilo lilisema hakuna sababu ya kujiepusha na michezo ya Olimpiki mjini Rio mwezi Agosti.
Hii inaongezea vigezo vya hapo awali .



Post a Comment