Header Ads


NEWSMEDIATZ: MASHINDANO YA UTANGAZJI KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA FAHAMU ZAIDI HAPA....

No automatic alt text available.

Mashindano ya utangazaji yanatarajiwa katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha journalism training college(A.J.T.C) kuanza siku ya jumaa tatu tarehe 22 ya mwezi wa 5 mwaka 2017 yakihusisha madara 12.

Madarasa hayo amayo nipamoja na Darasa la Tarangire,Selou,Serengeti,Ruwenzori,Kilimanjaro,Natron,Katavi,Vission,Mount Evarest,Amazon,Ruaha,Mzumbe



Mashindano hayo yamkua yakifanyika kila mwaka kwa lengo la kukuza vipaji vya wanafunzi hao amabao wamekua wanaleta mabadiliko makubwa kwenye tasnia ya uandishi wa habari nchini tanzania
mshindi wa mashindano hayo atajishindia kitita cha shilingi laki moja na nusu mshindi wa pili laki moja na msindi wa tatu shilingi elfu themanini.

No comments

Powered by Blogger.