MAPIGANO YAIBUKA KATI YA IS NA WAASI SYRIA
![]() |
mapigano Syria |
Mapigano makali
yametokea Kaskazini mwa Syria wakati kundi la Islamic State linajaribu
kutwaa mji unaodhibitiwa na waasi wa Marea.
Islamic State walitekeleza shambulio la asubuhi mapema, wakiwa na makombora, mizinga na magari yaliowekwa bomu.![]() |
Mtoto wa shule Syria |
Kundi hilo limekuwa likikaribia eneo hilo siku za hivi karibuni.
Umoja wa Mataifa unasema kuwa raia wamejipata katikati mwa mapigano hayo wakijaribu kutoroka.
Post a Comment