MKUTANO WA TRUMP WAKUMBWA NA GHASIA
![]() |
| Mkutano wa Trump wakumbwa na ghasia |
Polisi wa
kukabiliana na ghasia nchini Marekani walitumwa kwenye mji wa San Diego,
jimbo la California, kuzuia makabiliano kati ya maelfu ya wafuasi na
wanaompinga mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Republican Donald
Trump.
Waandamanji hao walipeperusha bendera za Marekani na Mexico, wakati bwana Trump akitoa hotuba yake.San Diego, ni kilomita chache tu kutoka mpaka wa Mexico na Marekani.
![]() |
| Mkutano wa Trump mjini San Diego |



Post a Comment