COUPLE MPYA MJINI ASLAY NA RUBY....
Couple mpya hapa town kwa sasa inayotikisa kwa kasi ni yaoAslay na Ruby baada ya Harmonize na Wolper kutikisa kwa namna yao.
Kulikuwa na tetesi nyingi kuhusu wawili hao kuwa pamoja lakini weekend hii wawili hao walionyesha ulimwengu kama wao ni couple mpya hapa town kwa sasa.
Tarehe 13/06/2016 Yamoto Band waliachia ngoma yao mpya ya SU ambayo wamemshirikisha mwanadada huyo Ruby. Ila haijajulikana kama ni kiki mpya ya town au project za wasanii wetu wa Tz kuhusu mapenzi yao.
Tanzama post zao hapa chini.








Post a Comment