Header Ads


DIAMOND PLATNUMZ AMKABIDHI MH PAUL MAKONDA MASAADA WA MADAWATI 600 KWA AJILI SHULE ZA DAR


June 6 2016 msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz na familia nzima ya WCB Wasafi ilifika katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Mh Paul Makonda na kumkabidhi Madawati 600 kwajili ya Wanafunzi wa shule za Dar es Salaam.
Madawati hayo ambayo yataweza kusaidia Wanafunzi Elf Moja na mia nane 1,800 kutoka kwenye kukaa chini na kuweza kukaa kwenye Dawati na kupata elimu Vyema,

#StayInSchoolKids.
d 00
  d 3

No comments

Powered by Blogger.