GUINEA BISSAU NA GHANA ZAFUZU KOMBE LA AFRIKA
Guinea Bissau ikefuzu kwa kombe la taifa bingwa abarani Afrika kwa mara ya kwanza kabisa.
Bada
ya kuwashinda Zambia siku Jumamosi, nafasi yao katika kinyanganyiro
hicho cha mwaka ujao ilidhihirika wakati Congo-Brazzaville walipoteza
mwa mabao mawili kwa moja dhidi ya Kenya.Ghana ilifaulu kufuzu baada ya kushinda ugenini kwa mabao mawili wa bila dhidi ya Mauritius.
Post a Comment