JE! UNAJUA WATU WANASEMAJE KUHUSU MOHAMMED ALI?
![]() |
| George Foreman |
George Foreman:Aliyekuwa mwanamasumbwi George Foreman aliyewahi
kupambana na Mohammed Ali katika mechi iliofanyika Zaire kabla ya Ali
kuibuka mshindi anasema kuwa Mohammed ali alikuwa na ushawishi wa
kukufanya akupende.Iwapo usingempenda angekufanyia vituko zaidi ndio
uweze kumchukia zaidi.
![]() |
| Floyd Mayweather |
Odesa Grady Clay:Kila mara nilihisi Mungu alimfanya Muhammad kuwa mtu muhimu,lakini sijui kwa nini mungu alinichagua mie kumbeba mwana huyu.wakati alipokuwa mtoto hakuweza kutulia.alitembea na kuzungumza na kufanya kila kitu wakati wake.Akili yake ilikuwa kama upepo unaovuma na kueleka kila sehemu.
Rahman Ali: Ndguye Mohammed Ali anasema kuwa marehemu alikuwa akimtaka amrushie mawe,nilidhani ameshikwa na wazimu,lakini mawe hayo angeyahepa yasimpige...sikuweza kumpiga.
![]() |
| Malcolm X |
Malcom X: Ndio mwanariadha hodari mweusi niliyewahi kumjua na ana
umuhimu mkubwa kwa watu wake.Kwa sababu mabilioni ya watu kutoka
Afrika,Asia na Arabia wanakupenda lazima ujue majukumu yako.
![]() |
| Jesse Jackson |





Post a Comment