WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARY AKIDO WATEMBELE CHUO CHA UANDISHI WA HABARI ARUSHA
![]() |
| wanafunzi wa akido sekondari |
Ambapo walipata kujifunza jinsi chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha kinavyo rusha matanzazo yake ya redio na televisheni na jinsi wanavyo andaa vipindi mbalimbali vya redio na televishion.
![]() |
| mkufunzi bw. kephas akiwaelekeza wanafunzi wa akido |
Chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha ndio chuo namba mbili kwa ubora nchini Tanzania




Post a Comment