Header Ads


JE! UNAJUA SABABU YA KUZIMA SIMU WAKATI NDEGE INAPAA NA KUTUA NIMEKUWEKEA HAPA

Najua kama ni mtumiaji wa usafiri wa ndege utakuwa ushasikia taratibu za abiria kuzima simu wakati ndege inataka kupaa na kutua ila huenda hukawa hujui sababu kwa nini unatakiwa kufanya hivyo, inawezekana ulishajiuliza usipozima unaweza kusababisha ndege kupata ajali au? jibu ni Hapana, isipokuwa unaweza kusababisha muingiliano wa mawasiliano kati ya rubani na waongozaji.
Vibrations au miungurumo ya simu na vifaa vingine vya electronics vinahusika kwa kiasi kikubwa kuvuruga mawasiliano mazuri kati ya rubani na wanaomuongoza, hivyo huwa tunashauriwa kuzima simu na vifaa vingine vya electronics wakati wa kupaa na kutua kwa ndege. Hiyo ni moja kati ya sababu kuu zilizotajwa juu ya swali la ”Kwanini tuzime simu wakati ndege inaporuka na kutua”?.

No comments

Powered by Blogger.