Header Ads


NEWS MEDIA TZ: KUONYESHA MAKALIO HADHARANI SASA NI MARUFUKU AUSTRALIA>>>


Sasa ni hatia kuonyesha makalio yako hadharani nchini Australia

Kuonyesha makalio hadharani sasa ni uhalifu katika jimbo la Victoria nchini Australia.
Hatia hiyo inayojulikana kama ''mooning'' kwa lugha ya kiingereza sasa ina hukumu ya hadi miezi sita jela .
Marekebisho ya sheria hiyo yanalenga kutengenisha utani unaohusisha uchi na ule wa kujionyesha kingono.
Sheria hiyo mpya pia inapiga marufuku uimbaji wa nyimbo chafu pamoja na tabia nyengine zinaozoonekana kuwa za uasherati, uchafu, kukera au kutusi.

No comments

Powered by Blogger.