NEWS MEDIA TZ: KWA WAPENZI WA MUSIC "NISAMEHE" YA BARAKAH DA PRINCE NA ALIKIBA KUACHIWA SIKU YA JUMANNE

Baada ya mashabiki kuisubiria kwa hamu collabo ya kwanza ya label mates wa Rockstar4000, Barakah Da Prince na Alikiba, sasa imethibitishwa kuwa wimbo wao ‘Nisamehe’ utaachiwa Jumanne, Septemba 13.

Post a Comment