NEWS MEDIA TZ: VIDEO TAZAMA SHUHUDA AKISIMULIA MAMA MMOJA ALIVYOKUFA KWENYE TETEMEKO LA ARDHI BUKOBA

Wakati vifo vya watu waliopoteza maisha kutokana na tetemeko la ardhi lililoiumba mikoa ya kanda ziwa juzi iliongezeka na kufikia 16.
September 12 2016 kupitia kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV, Ceaser Redemptius amezungumza na shuhuda wa tetemeko ambaye alishuhudia mama mmoja aliyefariki wakati akiwa kwenye jitihada za kujiokoa kutoka nje ya nyumba bahati mbaya akawa ameangukiwa na sehemu ya Kenopi na kufariki.
Post a Comment