Header Ads


NEWS MEDIA TZ: TAZAMA HALI ILIVYO KATIKA UWANJA WA TAIFA KATIKA MAGETI YA KUINGILIA YANGA VS SIMBA>>>>

October 1 2016 ni siku ambayo mashabiki wa soka Tanzania watapa nafasi ya kuangalia mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba, huu ni mchezo wa kwanza  wa round ya Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017, changamoto ya mfumo wa electronics tiketi ulisababisha mashabiki kukanyagana.
dsc_0020
dsc_0025
dsc_0035
dsc_0040
dsc_0072
dsc_0099
dsc_0104
dsc_0105

No comments

Powered by Blogger.