MZIKI WA NYUMBANI SASA KIMATAIFA WAPIGA HODI, CHRISS BROWN KAMPA MSANI HUYU DILI KUBWA........
Najua jina la Chriss Brown sio geni
masikioni mwa watu wanaopenda muziki, basi leo May 29 2016 huenda ikawa
ni good news kwa muziki wa Afrika, baada ya msanii kutoka Marekani
Chriss Brown kumpost msanii Wizkid kutoka Nigeria.
Katika ukurasa wake wa Instagram Chriss
Brown amempost Wizkid na kuandika maneno machache sana, lakini
yanatafsirika kama kumualika mkali huyo wa Nigeria katika tour yake ya
One Hell Of Nite Tour kwa mwaka 2016 atakayoifanya bara la Ulaya katika
nchi za Uholanzi, Ujerumani na Denmark.
Muda mchache baada ya Chriss Brown kupost picha ya Wizkid, staa huyo
kutokea Nigeria alipost nae picha kama hiyo na kuthibitisha kuwa kuanzia
June 5 hadi June 11 2016 atakuwa katika Tour pamoja na Chriss Brown.
Post a Comment