Usiku wa Jumanne, Drake alionekana kwenye mitaa ya Los Angeles akiwa
ameambatana kwa karibu na mwanamitindo huyo [Hailey Baldwin] wakiwa
kwenye mgahawa wa Ysabel. Hata hivyo hivi karibuni Drake amehusishwa kurudiana na aliyekuwa ex wake, Rihanna na mpaka kumvalisha kumvalisha pete.
Post a Comment