Header Ads


RICH MAVOKO RASMI WCB WASAFI



June 2,
2016 label ya Wasafi inayomilikiwa na staa Diamond Platnumz inaingia
kwenye headlines za Bongo Fleva baada ya kumtambulisha rasmi  msanii
 wao mpya  Rich Mavoko ambaye anakuwa ni msanii wa nne atakayesimamiwa
kazi zake katika label hiyo.


Kwa mujibu wa Diamond Platnumz amesemaKwasasa
Label yangu inakuwa na jumla ya wasanii wanne ukiachana na Rich Mavoko
kuna Dada yangu Queen Darling ambaye sijawahi kumtambulisha lakini
anakuwa ni msichana wa kwanza katika label yangu kwahiyo tutakuwa
na Raymond, Harmonize, Rich Mavoko na Queen Darling

Unaweza kuangalia video hii hapa chini

No comments

Powered by Blogger.