Header Ads


TAZAMA VIDEO YA MKUU WA KITUO CHA SOBER HOUSE AKITHIBISHA TAARIFA ZA CHID BENZ KUTOROKA

newsmediatz.blogspot.com
March 22, 2016 meneja wa Diamond Platnumz Babu Tale alimpeleka  msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Ilala, Rashid Makwilo aka Chid Benz  Sober House iliyopo Bagamoyo iitwayo Life and Hope Rehabilitation Centre kwaajili ya kupata matibabu ya kuacha kutumia madawa kulevywa na kurudi kwenye hali yake ya mwanzo.


Headline za kutoroka kwa msanii huyo kwenye nyumba hiyo ya kuhudumia
waathirika wa dawa za kulevya zilianza baada ya watu kumuona msanii huyo
akiwa mtaani June 5 2016 Mkuu wa Kituu hicho cha Sober House ameelezea
ukweli wa msanii Chid Benz kwenye kituo hicho.





No comments

Powered by Blogger.