Header Ads


DC GODWIN GONDWE RASMI OFISINI KWAKE TAZAMA PICHA HAPA



Mtangazaji mkongwe Godwin Gondwe ni miongoni mwa wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa na Rais Magufuli ambaye mwishoni mwa wiki alikuwa ni miongoni mwa wakuu wa wilaya wapya nane wa wilaya za mkoa wa Tanga walioapishwa na mkuu wa mkoa huo, Martin Shigela, kushika wadhifa huo.
Gondwe ameteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Handeni na hapa rasmi ameanza kutekeleza majukumu yake


















DC Gondwe akipokea mchango wa madawati kutoka kwa mwakilishi wa A to Z Company


No comments

Powered by Blogger.