Header Ads


SETILAITI YA JUNO YAFIKA JUPITA BAADA YA KUSAFIRI KWA MIAKA MITANO




Ile Setilaiti ya Juno iliiyosafiri kwa miaka mitano kwenda katika sayari ya Jupita imefika kwenye sayari hiyo na kuanza kuizunguka.


Wanasayansi wanakadiria setilaiti hiyo ilifika muda mfupi ujao majira ya saa 12:15 asubuhi hii kwa saa za Afrika Mashariki.
Setilaiti hiyo inatarajiwa kudumu kwa mwaka mmoja na nusu kuchunguza sayari jinsi ilivyoumbwa.

No comments

Powered by Blogger.