Header Ads


JE! UNAJUA ENEO HATARI ZAIDI LA KUFUNGIA NDOA DUNIANI SOMA HAPA





Image copyrightCHINA NEWS SERVICE

Si jambo linaloweza kufikiriwa na kila mtu kulitenda wakati wa siku maalum, Lakini wapenzi wa kichina walichagua kusherehekea harusi yao huku wakielea angani katika daraja la kioo.
Bibi harusi na bwana harusi walioana katika daraja la Shiniuzhai katika mji wa Pingjiang jimbo la Hunan katika siku ya wapendanao ya uchina inayoadhimishwa tarehe 9 Agosti, Shirika la habari la China News Service limeripoti.
Licha ya kuelea angani yapata futi 590 kutoka usawa wa ardhi , waliweza kuonyesha tabasamu zao walipokuwa wakipigwa picha za harusi yao.
Madaraja ya vioo yamekuwa maarufu sana nchini uchina hivi karibuni.


Wanandoa walipanda wakielea kwenye daraja la Shiniuzhai glass wakati wa harusi yao tarehe 9 Agosti 2016Image copyrightCHINA NEWS SERVICE
Wanandoa hao wakitazamwa na wapita njia na waandalizi wa harusi yao, tarehe 9 Agosti 2016Image copyrightCHINA NEWS SERVICE
Image captionHapana, hatukuwa na uhakika ni vipi waliweza kufika huko
Bibi harusi akishuka kutoka kwenye daraja la kioo la Shiniuzhai tarehe, 9 Agosti 2016Image copyrightCHINA NEWS SERVICE




Wiki chache tu zilizopita , maharusi wengine waliamua kuvalishana pete kwenye daraja hilo hili ingawa hawakutoka kwenye daraja
Wanandoa walipanda wakiwa kwenye daraja la Shiniuzhai glass, tarehe 9 Agosti 2016

No comments

Powered by Blogger.