Header Ads


JE! UNAKIPAJI CHA KUIMBA SI YAKUKOSA HII SOMA ZAIDI HAPA....




Are you Ready for this moment,,, ILe kampuni yako maarufu kwa kuandaa shows na kusaka vipaji hapa town ikiwa chini ya ‪#‎williamCharlz‬ na‪#‎ThomasMachupa‬ yaani ‪#‎TWO‬ BROTHER'S &CO.LTD.

Inakuletea shindano kali la kumsaka mfalme na Malkia wa uimbaji katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha (AJTC) Litakalofanyika mwanzoni mwa mwezi wa tisa 2016 katika ukumbi wa chuo hicho. Etii nikwambie watu wote mnaruhusiwa kushiriki. mawasiliano zaidi 0767 206 694

No comments

Powered by Blogger.